Sunday, 9 September 2007

kaa macho

Wilaya ya Kinondoni imeanza msako mkali dhidi ya wafanyabiashara wenye vioski vilivyogeuzwa kuwa baa bila kufuata utaratibu kwa nia ya kukwepa malipo ya leseni halali.